large

adj 1 (in size, importance) -kubwa; (in quantity) -ingi. ~ of limb -enye miguu, mikono mikubwa. ~ scale adj kubwa ~ scale farmer mkulima mkubwa (mwenye shamba kubwa) ~ scale map ramani yenye vipimo/skeli kubwa. 2 (liberal) -ema, -karimu ~ hearted -ema, -a huruma, -karimu ~ minded -enye kupokea mawazo ya wengine. n (only in) at ~ huru the bandits are still at ~ yale majambazi bado hayajaka- matwa/yako huru; kwa undani talk at ~ zungumza kwa undani; kwa jumla; hobelahobela, bila lengo. largely adv kwa majivuno his failure was ~ly due to laziness kushindwa kwake kumetokana hasa na uvivu wake; kwa ukarimu, bure. largeness n. largish adj kubwa kiasi.