lard

n mafuta ya nguruwe. vt tia mafuta ya nguruwe (katika nyama), tia bekoni kuongeza utamu. ~ with (fig)(often derog) tia mbwembwe (hadi kuchusha).