lapse
n 1 kuteleza (kwa ulimi/matendo/ maandishi) ~ of memory kupitiwa ~ of the tongue kuteleza ulimi. 2 ~ (from) (into) kupotoka, kuanza kutoka kwenye mstari/kuwa na tabia isiyohisi. 3 (of time) kupita the ~ of time kupita kwa muda. 4 (leg) kupotea, kuisha kwa haki (kwa kutotumia au kutoiomba tena). vi 1 ~ (from) (into) potoka; shuka hadhi. 2 (leg) poteza haki (kwa kutodai au kutoihuisha).