lap

lap

1 n 1 paja; mapaja. 2 kipande cha vazi (kinachofunika mapaja). be/live in the ~ of luxury ishi maisha ya anasa. in the ~ of the Gods (of future event) kwa kutegemea kudra, mashakani. ~ dog n kijibwa cha kupakata. laptop n kompyuta ndogo ya kupakata. vt,vi 1 funika/funga kwa nguo n.k. 2 pitana, pandana the iron sheets on the roof ~ over mabati yamepandana. n mapandano; mzunguko mmoja (katika mbio).

lap

2 vi,vt ~ up 1 -nywa (kwa kulamba kama paka). 2 (colloq)(of human beings) pokea, twaa upesi/kwa shauku, papia. 3 (of water) piga (piga), fanya sauti kama mnyama anayekunywa kwa ulimi (k.m. mawimbi madogo pwani). 4 -wa mbele kwa mzunguko mmoja (kwenye mashindano), zunguka wenzako. n kunywa kwa ulimi kulambalamba; sauti ya unywaji kwa ulimi.