language

n 1 lugha the ~ of the Nyamwezi Kinyamwezi. dead ~ n lugha ya kale (ambayo haizungumzwi tena). ~ laboratory n maabara ya lugha. professional ~ n lugha ya kitaalam/kieledi. 2 ishara zitumiwazo kwa mawasiliano. computer ~ n lugha ya kompyuta. 3 maneno, misemo itumiwayo katika kikundi fulani. technical ~ n lugha ya kifundi. 4 bad/strong ~ n lugha chafu, kali, -liojaa matusi n.k.