n (hist) mkuki, fumo, lansi break a ~ withsomebody bishana sana na mtu. ~ corporaln koplo lansi. lancern askari wa farasi. lancesn pl (with sing v) dansi ya watu wanane au zaidi. vt choma kwa fumo; pasua, tumbua (jipu) n.k. lancetn kisu kidogo (kinachotumika kupasulia). lancinatingadj (of pain) -a kuchoma, kali.