lamp

n 1 taa. street ~s taa za barabarani. table ~ n taa ya kusomea (lantern) kandili, fanusi; kibatari. 2 lamplight n mwanga/nuru ya taa. lamplighter n (hist) mwasha taa barabarani. lamp-post n nguzo ya taa (barabarani). ~-shade n kifuniko cha taa.