lamb

n 1 mwanakondoo, nyama ya mwanakondoo. 2 maasumu; mpenzi. like a ~ (to the slaughter) (kufa) kingoto, kimyakimya. vt zaa (vikondoo), gwisha. ~ kin n mwanakondoo mchanga. lambskin n ngozi ya mwanakondoo. ~'s wool n sufu ya mwanakondoo.