laic

adj -siokuwa -a dini, -a kawaida. n mtu wa kawaida, mlei. laical adj. laicize vt toa katika utawala wa dini, fanya (agh. padri) awe mtu wa kawaida.