lag

lag

1 n (sl) mfungwa an old ~ mtu aliyefungwa mara nyingi. vt 1 tia gerezani. 2 bamba.

lag

2 vi kawia, chelewa, enda polepole ~behind kawia. n (time) ~ muda wa kuchelewa. laggard n mvivu, goigoi mchelewaji.

lag

3 n kihami. vt hami/fungia/vingirishia kitu (kuzuia joto kupita).