lactate

vt tunga maziwa; nyonyesha maziwa. n (chem) chumvi ya maziwa. lactation n. lactic adj -a maziwa ~ acid asidi ya maziwa yaliyochachuka.