labour
(US)labor n 1 kazi division of ~ mgawanyo wa kazi. hard ~ n kazi ngumu. manual ~ n kazi ya mikono/sulubu. ~ saving adj -a kupunguza kazi. 2 kazi. a ~ of love kazi afanyayo mtu kwa upendo. 3 wafanyakazi. ~ Exchange n ofisi ya leba. the ~ Party n Chama cha Leba/Wafanyakazi. ~ leaders n viongozi wa Chama cha Leba; viongozi wa Chama cha Wafanyakazi. ~ Day n (US) sikukuu ya wafanyakazi; Jumatatu ya kwanza ya mwezi Septemba. ~ union n (US) Chama cha Wafanyakazi. 4 uchungu wa uzazi a woman in ~ mwanamke mwenye uchungu. vt,vi 1 fanya kazi, tumika; jitahidi. 2 enda/ pumua polepole na kwa shida. 3 ~ under somebody/something teseka, pata shida ~ under a disadvantage teseka kwa shida ~ under a delusion jidanganya. 4 fanya kazi kwa undani/urefu mno. laboured adj 1 -a shida/taabu. ~ breathing n upumuaji wa shida, taabu. 2 -enye kutafakuri mno. labourer n mfanyakazi, kibarua. labourite n mwanachama/shabiki wa chama cha Leba. ~ious adj 1 (of work etc) -harubu, -a kuchosha. 2 -enye kuhitaji makini. 3 gumu. ~iously adv.