label

n 1 kitambulisho (chenye maelezo/anwani ya mzigo). vt weka kitambulisho chenye maelezo/anwani ya kitu/mzigo. (fig) ~ somebody (as something) -pa/pachika mtu (cheo, sifa, jina) he was ~led a thief alipachikwa jina la wizi.