laager

n 1 (in S. Africa) kambi iliyopangwa kati ya duara ya magari. 2 (mil) maegesho ya magari ya kivita. vt,vi 1 egesha magari katika duara. 2 jihami nyuma ya magari.