know

vt,vi 1 jua, fahamu, elewa, tambua ~ one's business/what's what/the ropes/a thing or two -wa na ujuzi wa jambo fulani; elewa utaratibu wa jambo fulani; -wa na uamuzi wa busara; jua unachofanya. ~ better than to do something jua ni vizuri kutofanya jambo fulani. ~ about/of fahamu jambo fulani, -wa na habari kuhusu. 2 fahamu, tambua, jua (mtu), fahamiana na; tofautisha/pambanua mtu/kitu. make oneself ~n to somebody jitambulisha. be ~n to julikana na he's ~n to the police anajulikana na polisi. be ~n as julikana kama. ~ somebody from somebody tofautisha, pambanua. ~ something from something weza kutofautisha kitu. not ~ somebody from Adam/from a bar of soap (colloq) -tofahamu (mtu) kabisa. 3 jua vizuri. 4 weza kutambua. (compounds) don't-~ n (colloq) msailiwa asiyejua maswali ya kura ya maoni. know-all n (derog) sogora, mjuaji. know-how n akili ya kutengeneza vitu n.k., ujuzi wa mbinu za utekelezaji; ufundi ustadi, ubingwa wa ufundi. n (only in) in the ~ (colloq) -enye habari. knowable adj knowing adj. -stadi, -juzi, -enye maarifa; -erevu, -janja. knowingly adv 1 kwa makusudi. 2 kwa ujuzi in a ~ing manner kwa ujuzi, kwa utambuzi. knowledge n 1 elimu; maarifa. knowledgeable adj -enye maarifa mengi/akili/ fahamu. 2 ujuzi. 3 ufahamu, utambuzi.