knot

n 1 fundo tie/make a ~ piga fundo make a ~ (fig) funga the marriage ~ kufunga ndoa/pingu za maisha. 2 utepe wa mapambo (wenye mafundo). 3 shida, taabu, tatizo. tie oneself in/up in/into ~s jibabaisha; changanyikiwa. 4 (of trees) kifundo.~ hole n shimo la kifundo. 5 (of persons) kikundi. 6 (naut) noti: mwendo wa futi 6080 (mita 1853) kwa saa ship of 16 ~s meli inayokwenda noti 16 kwa saa. vt,vi fanya/funga fundo. knotty adj 1 -enye kifundo ~ ty tree mti wenye vifundo. 2 gumu kufahamu. knotty problem n tatizo gumu kutatuliwa.