knock

n 1 pigo; bisho a ~ at the door kupiga/kubisha hodi, bisho mlangoni he got a slight ~ on the fore-head alipata pigo hafifu pajini. ~ for ~ (of an Insurance Company) kulipia kile kile kilicholipiwa bima. 2 (of a petrol engine) kuvunjika, kuharibika, kunoki. 3 (cricket) zamu (ya kupiga). 4 (sl) lawama; hasara. knocker n 1 mtu/kitu kinachobisha mlango. ~ up n mtu anayeamsha wafanyakazi asubuhi. vt,vi 1 bisha, gonga ~ at the door bisha mlango, bisha/piga hodi. ~ against something/somebody gonga/gongana na kitu/mtu. ~ one's head against a brick wall (fig) jisumbua bure. 2 (sl) shangaza; shtusha 3 (of a petrol engine) noki, vunjika, haribika. 4 (sl) kosoa. 5 (compounds). knock-about adj (of clothes) zinazofaa kwa kazi. knock-down adj (of prices eg at an auction) -a bei nafuu; -a chini na mwisho; (fig) -a kushangaza, -a kuduwaza. knock-kneed adj, -enye magobwe. knockout adj,n (abbr KO) pigo la ushindi/ushinde (kwenye mchezo wa masumbwi); (sl) -a usingizi (of a tournament) mashindano ya kutoana; (colloq) (person, thing) -a kuvutia, -a kupendeza, -a usingizi ~out pills dawa za usingizi. 6 (uses with adverbial particles and props). ~ about (colloq) kuzurura. ~ about (with somebody) -wa na uhusiano (wa kimapenzi) na, tembea na. ~ somebody/something about piga mara kwa mara; fanyia ubaya. ~ something back (sl) -nywa ~ back a pint of beer -nywa bia; shangaza. ~ somebody down angusha; gonga. you could have ~ed me down with a feather nilishangaa sana, niliduwaa/shikwa na bumbuazi. ~ something down bomoa, haribu; changua katika sehemu ~ down the furniture fungua fanicha katika sehemu (kupata wepesi wa kusafirisha). ~ something/somebody down (to something) uzia mtu kitu kwenye mnada. ~ down prices punguza bei. ~ something in pigilia, gongomea ~ in a nail pigilia msumari. ~ off (work) pumzika. ~ somebody off (sl) tongoza na kutelekeza. ~ something off punguza/tunga/maliza haraka; (cricket) funga haraka haraka; (sl) vunja; iba ~ off a bank vunja benki. ~ it off (sl) acha! ~ on (Rugby) gonga mpira kwenda mbele wakati wa kujaribu kuudaka ~ or effect n (colloq) matokeo mabaya; mwambukizano. ~ somebody out (boxing) angusha mpinzani kiasi cha kushindwa kuendelea; (fig) shangaza; duwaza, zimisha. ~ somebody out (of) toa shinda (mpinzani). ~ something out kung'uta ~ out one's pipe kung'uta kiko (ili kutoa tumbaku). ~ (things) together gonganisha/weka vitu haraka haraka, haraka/ovyo ovyo. ~ your/their heads together tumia nguvu kuzuia mtu/watu wasigombane, waache ujeuri; gonganisha vichwa vyenu. ~ up (tennis) zoezi fupi kabla ya mchezo. ~ somebody up, (GB colloq) amsha mtu (GB colloq) chosha, taabisha, (US sl) shambulia, piga; (US vulg sl) (of a man) jamiina na; tia mimba. ~ something up piga/rusha juu kwa ngumi; panga/weka/tengeneza pamoja haraka; (of cricket) funga. ~ up copy (in newspaper etc) tayarisha mswada kwa uchapishaji. ~ into fundisha kwa nguvu; kutana na (bila kutegemea). ~ off ua.