knight

n 1 (in the Middle Ages) shujaa wa ukoo bora anayepewa daraja la juu katika jeshi baada ya kuonyesha uhodari wote. ~ -errant n shujaa wa ukoo bora aliyekwenda kutafuta ushujaa. 2 (GB modern use)cheo cha hadhi/heshima kinachotolewa kwa kulitumikia taifa (mwenye cheo hiki huitwa "Sir" kabla ya jina lake). 3 (GB history) ~ (of the shire) Mbunge wa jimbo. 4 (game of chess) kete yenye kichwa cha farasi. vt pa cheo, tunza cheo cha 'Sir'. knighthood n 1 cheo/heshima ya shujaa wa ukoo bora. 2 watu wenye cheo hiki. knightly adj.