knife

n (pl knives) kisu; jisu, (for tapping palm -trees) kotama pocket ~ kisu cha kukunja, kijembe. get one's ~ into somebody dhamiria kudhuru. war to the ~ uhasama mkali, kukinzana na, vita vya kufa na kupona before you could say ~ kufumba na kufumbua. ~ edge n makali ya kisu. on a ~-edge of (a person awaiting important outcome, result etc.) -enye mashaka/wasiwasi mwingi be/go under the ~ pasuliwa. vt kata/choma kwa kisu.