knell

n mlio wa kengele (ikigongwa moja moja kama kwa maziko); (fig) ishara ya mwisho/kifo cha kitu. vt (fig) piga kengele (agh kama onyo).