knacker

n 1 mchinja farasi. 2 mtu anayenunua nyumba, meli, mashine kuukuu ili avunje na kupata vifaa. ~'s yard n mahali pa kuvunjia vyuma vikuukuu. vt chocha. ~ed adj (GB) -enye kuchoka sana, hoi.