kitchen

n jiko, meko; (GB) chumba cha kulia (chakula) pamoja na shughuli nyingine. everything but the ~ sink vitu vingi mno (zaidi ya inavyohitajika). ~-garden n bustani ya mboga na matunda. ~-sink drama n (GB in 1950's and 1960's) tamthilia inayoakisi maisha ya mfanyakazi (agh jinsi anavyotambua hali ya kisiasa, uchumi, kijamii n.k.). ~ unit n vifaa vya jikoni vilivyounganishwa pamoja. kitchenware n vifaa vya jikoni. kitchenette n chumba kidogo cha kupikia chakula.