king

n 1 mfalme. turn ~'s evidence toa ushahidi dhidi ya mhalifu mwenzi. 2 mtu mashuhuri. 3 (chess game) kete kuu; (playing cards) mzungu wa nne. 4 kitu kikubwa katika kundi la vitu/wanyama. the ~ of beasts n simba. the ~ of the forest n mwaloni. the ~ of terrors n kifo. 5 (compounds) kingbird n shore. ~ bolt n komeo kubwa. ~crab n kaa mkubwa. kingcraft n ustadi wa kutawala. ~ cup n ua kubwa la njano. kingfish n nguru. kingfisher n mdiria/chepea. king-maker n mtu mwenye kuathiri uteuzi wa mfalme/uchaguzi wa viongozi. kingpin n komeo; (fig) mtu muhimu. ~size(d) adj kubwa sana ~ size cigarettes sigara kubwa sana. ~like; kingly adj -a kifalme; -a fahari, -kuu. kingship n ufalme, utawala. kingdom n 1 ufalme, himaya. the United K~dom (the UK) Uingereza. 2 (of God) ufalme wa Mungu gone to ~dom come (colloq) aga dunia. 3 migawano mikuu ya viumbe/maumbile duniani the animal ~dom jamii ya wanyama na binadamu the vegetable ~dom jamii ya mimea the mineral ~dom ulimwengu wa madini/miamba/ mawe. 4 (realm or province) eneo, sehemu.