kind

kind

1 adj -ema, -enye huruma, -karimu. ~ hearted adj -ema, -enye huruma. kindly adv 1 kwa huruma/ ukarimu. 2 (in polite formulas) will you ~ly close the door tafadhali funga mlango. 3 kirahisi, kawaida take ~ ly to kubali kirahisi. kindness n wema, huruma. out of ~ness kwa huruma. do/show somebody ~ness onyesha huruma/wema.

kind

2 n 1 namna, kabila. 2 aina, ngeli, namna a ~ of dog namna ya mbwa all ~s of things kila aina ya vitu coffee of a ~ kinywaji kama kahawa. nothing of the ~ si kitu kama hicho, si hivyo; hata kidogo. something of the ~ kitu kama hicho this ~ of -a aina hii ya what ~ of? -a namna gani? ~ of; ~a kwa kiasi fulani I ~ of expected nilitarajia kiasi. 3 asili, tabia they differ in ~ wanatofautiana sana. 4 in ~ (of payment) vitu/bidhaa (si fedha) repay somebody in ~ tendea fulani jinsi ulivyotendewa naye; lipiza kisasi.