kin

n aali; ukoo, mlango; jamaa, ndugu. next of ~ n ndugu wa karibu zaidi. kindred n 1 ukoo, udugu claim ~dred with somebody dai kuwa wa ukoo mmoja na fulani. 2 familia, ndugu, jamaa adj (attrib only) -a asili moja; -a namna moja, -a kufanana. ~ly adj 1 -ema, -pole. 2 (of climate) tulivu. 3 halali. ~liness n. kinfolk n ndugu, jamaa. kinsman n ndugu/ jamaa wa kiume. kinswoman n ndugu/jamaa wa kike. kinship n uhusiano wa damu; kufanana kwa tabia.