kill

vt,vi 1 ua; fisha. ~ somebody/ something off ua; ondosha ~ time jishughulisha wakati wa kungoja. 2 poteza, haribu, fifisha the red carpet ~s your curtains zulia jekundu linafifisha rangi ya) mapazia. 3 shinda; piga kura ya vito. ~ joy n mtu anayeharibu furaha ya wengine. 4 vutia sana. ~ somebody with kindness haribu mtu kwa kumfanyia huruma sana, dekeza sana. dress to ~ vaa ili kuvutia watu. n 1 kuua. be in at the ~ shuhudia kuuawa mnyama. 2 (in hunting) windo. killing adj (colloq, dated) -a kuchosha, -a kuchekesha sana. make a ~ing fanikiwa sana. killingly adv. killer n muuaji.