kid

kid

1 n 1 mwana mbuzi. 2 ngozi ya mwana mbuzi. ~ gloves n glavu za ngozi ya mwanambuzi. handle somebody with ~ gloves (fig) shughulikia kwa unyenyekevu (pasipo kuwa mkali). 3 (sl) mtoto (US sl) kijana college ~s vijana wa chuo. kiddy n (sl) kitoto, mtoto mdogo. vt (of a goat) zaa.

kid

2 vt,vi (sl) (kwa kuongopa) tania; danganya don't ~ yourself, usijidanganye.