kick

1 n 1 teke. get more ~s than halfpence shukrani ya punda ni mateke. ~ back n (US sl) bahashishi; kiasi cha fedha (apewacho mtu kwa kumpatia mwingine mapato). 2 (colloq) msisimko. do something for ~s fanya kwa kusisimka. be on a ~ (sl) zama katika shughuli. 3 (colloq) nguvu. he has no ~ left in him amechoka, yu hoi. 4 kushtua kwa nguvu. ~ start (er) n pedali ya kuwashia pikipiki. vt,vi 1 piga teke. ~ the bucket (sl) fariki. ~ a goal (Rugby football) funga goli. ~ one's heels kaa bure/bila kazi. ~ somebody up stairs (fig) toa mtu mahali fulani kwa kumpa cheo kikubwa zaidi. 2 (of a gun) shtuka baada ya kufyatuliwa. 3 (special uses with adverbial particles and preps) ~ against/at pinga, onyesha kuudhika/kulalamika/kutoridhika; kaidi. ~ off (football) anza mchezo. ~ something off vua kwa kupiga teke, kwa kutupa/kurusha miguu ~ off one's slippers vua ndara kwa kupiga teke. kickoff n kuanza. ~ somebody out fukuza mtu. ~ something up pandisha kitu kwa kukipiga. ~ up a fuss/shindy/ row/stink (colloq) sababisha fujo, leta vurumai kwa kubisha. ~ up one's heels (of a horse) rukaruka baada ya kutumikishwa; (fig) jifurahisha.