key
key
1 n 1 ufunguo (wa mlango, saa n.k.). ~ hole n tundu la ufunguo. ~ money n kilemba. ~ring n pete ya ufunguo. master/skeleton ~ n ufunguo malaya. 2 ~ (to) (fig) ufumbuzi. 3 ufunguo wa saa. 4 (of text book) majawabu, (translation) tafsiri. 5 (also attrib) mlango a ~ position nafasi maalumu. 6 (attrib) muhimu ~ industry tasnia muhimu (kwa ajili ya uendelezaji wa viwanda vingine). keystone n (archit) jiwe la kiungo kwenye tao; (fig) msingi/jambo muhimu. 7 kibao cha tapureta/piano/kinanda/filimbi ~ board msururu wa vibao hivyo. 8 (music) ufunguo (mfululizo wa noti wenye mfumo maalumu); (fig) namna/mtindo wa sauti/mawazo in a minor ~ kwa huzuni all in the same ~ bila kuonyesha hisia; kwa sauti ya namna moja. ~ note n noti ya msingi; (fig) wazo linalojitokeza.key
2 vt linganisha sauti (kwa kukaza/ kulegeza nyuzi). ~ something in patanisha kitu na vingine. ~ something into something patanisha/ unganisha vitu. ~ somebody up chochea/amsha mtu.key
3 n kisiwa kidogo/tambarare (cha matumbawe).