justice
n 1 haki treat all men with ~ tendea watu wote haki. do ~ to tenda haki. do oneself ~ jitendea haki, -fanya jambo kulingana na uwezo wako. 2 mamlaka ya kisheria. bring somebody to ~ peleka mhalifu mahakamani akahukumiwe. 3 jaji wa Mahakama Kuu. Chief J~ Jaji Mkuu. ~ of the Peace (JP) hakimu wa Amani. Department of ~ (US) Ofisi ya Mwanasheria Mkuu. justiciary n Mamlaka ya Jaji au Jaji Mkuu.