jury
n 1 baraza la wazee wa mahakama. grand ~ n baraza la uchunguzi wa awali. ~ box n kizimba cha mzee wa mahakama. coroner's ~ n wazee wa mahakama wanaotoa uamuzi wa sababu ya kifo. 2 (in competition) waamuzi (fig) the ~ of public opinion uamuzi wa umma. juryman n mzee wa baraza; mwamuzi. jurist n mwanasheria. juror n mzee wa baraza. 3 mtu anayeapishwa, mtu anayekula kiapo. juridical adj -a sheria; -a taratibu za kisheria. jurisdiction n mamlaka; mamlaka ya kisheria; utekelezaji wa sheria the issue is within my jurisdiction suala hili lipo katika mamlaka yangu. jurisprudence n 1 sayansi na falsafa ya sheria za binadamu. 2 maarifa ya sheria.