junket

n 1 mtindi mtamu. 2 mandari yenye chakula. vi enda mandari ya chakula. junketing n kufanya karamu.