junior

n mdogo (wa umri au cheo) he is my ~ yeye ni mdogo kwangu (US schools and colleges) mwanafunzi wa mwaka wa tatu (kati ya minne) ~ common room ukumbi wa wanafunzi adj -dogo (kwa umri); -a chini ~ class darasa la chini.