jump

n mruko, ruko; chupo. long/ high ~ n (mchezo wa) kuruka chini/juu. 2 mshtuo. give somebody a ~ shtua. the ~s n (colloq) kutetemeka. 3 kupanda kwa ghafla yesterday there was a ~ in the price of rice jana bei ya mchele ilipanda ghafla. vi,vt 1 ruka; chupa. ~ down somebody's throat varanga. ~ing-off place mahali pa kuanzia. jumped-up adj (colloq) -enye majivuno, -enye kujidai, mjivuni. 2 ruka juu yao. ~ the rails/track acha reli. 3 shtuka, chachawa. 4 panda ghafla, ruka the price of oil has ~ed bei ya mafuta imepanda ghafla. 5 ~ at ruka, pokea kwa furaha, vamia. ~ to conclusions fikia uamuzi bila kutafakari. ~ on/upon karipia. 6 ~ (one's bail) toroka dhamana. ~ a claim pokonya eneo la mwingine (kwenye machimbo). ~ the gun anza mapema, wahi. (go and) ~ in the lake (colloq) toka hapa. ~ the queue ruka foleni, (fig) -tofuata utaratibu.