n Idara ya Mahakama; jamii ya majaji independence of the ~ uhuru wa mahakama. judicaturen 1 usimamiaji haki. 2 jamii ya majaji. judicialadj 1 -a jaji, -a kimahakama judicial murder hukumu ya kifo isiyo haki. 2 -a haki, -siopendelea. judiciousadj(formal) -enye akili, -a busara. judiciouslyadv. judiciousnessn.