judge
n 1 (leg) hakimu; kadhi (High Court) jaji. ~ made law n kanuni zinazotokana na maamuzi ya mahakama. 2 (competition) mwamuzi. 3 (critics) mhakiki, mtaalam. vt,vi 1 hukumu, toa hukumu. 2 amua. 3 (estimate) kisia, dhani, ona ~ it good to do something ona vema kufanya jambo fulani ~ a man by his actions mpime mtu kwa matendo yake. judgement n 1 hukumu binding ~ment makataa. concurring ~ment n hukumu ya mwafaka dissenting ~ ment hukumu isiyowafiki. the Last ~ment/~ment Day n siku ya kiyama/hukumu ya mwisho sit in ~ on somebody hukumu mtu fulani ~ ment seat n kiti cha hukumu. 2 (opinion) shauri, maoni in my ~ment kwa maoni yangu. 3 (wisdom) akili, busara; ujuzi. 4 (taste) akili ya kutambua au kuchagua mazuri use your ~ment tumia uamuzi wako.