jubilant

adj -a shangwe; -a ushindi. be ~ -wa na shangwe. jubilantly adv. jubilation n. jubilee n jubilii; sikukuu ya ukumbusho. silver jubilee n jubilii ya mwaka wa ishirini na tano. golden jubilee n sikukuu ya ukumbusho wa mwaka wa hamsini. diamond jubilee n sikukuu ya ukumbusho wa mwaka wa sitini.