journal

n 1 gazeti; (periodical) jarida. 2 shajara, kitabu cha mambo ya kila siku, habari za kila siku (naut) batli. 3 daftari la kuwekea hesabu kabla ya kuandika katika daftari kubwa. 4 (sl) the ~s n (katika bunge) rekodi za shughuli za kila siku. journalese n lugha chapwa za magazeti. journalism n uandishi wa habari. journalist n mwandishi wa habari. ~stic adj -a uandishi wa habari.