joke
n kichekesho; dhihaka, mzaha, masihara. have a ~ with somebody fanyia masihara; taniana na. make a ~ about fanyia mzaha/kichekesho. a practical ~ n utani (wa vitendo). play a practical ~ on somebody tania mtu (kwa vitendo). it's no ~ siyo mchezo; sio utani. the ~ of the village kichekesho. vi fanya mzaha/dhihaka/utani. jokingly adv. joker n 1 chale, mcheshi, mfanya mzaha/masihara. 2 (sl) jamaa. 3 (playing cards)jokari.