jockey

n mpanda farasi katika mashindano vt,vi hadaa, laghai, danganya, ghilibu. ~ for position (in racing) kumbakumba washindani wengine ili kupata nafasi nzuri; (fig) jaribu kwa ufundi au ujanja kupata manufaa fulani.