jingo

n (pl) mzalendo bubu (anayedharau nchi nyingine); ushari (kwa sababu ya uzalendo huu). By ~ (dated sl) lahaula, kweli (kabisa). jingoism n ugomvi, ushari, tabia ya kutaka vita. jingoist n. jingoistic adj zalendo mno; -a shari, -anayetaka vita.