jingle

n 1 mlio (wa njuga, sarafu, funguo, kengele n.k.). 2 maneno yenye vina (yenye lengo la kuvutia k.m. katika tangazo la biasahra). vt 1 liza (njuga, sarafu, funguo, kengele n.k). 2 (of verse) tia vina rahisi.