jewel
n 1 kito (k.m. almasi). 2 almasi bandia. 3 (fig) (beloved) kipenzi; tunu, mtu/kitu cha thamani. vt 1 pamba kwa vito (usu in pp) a ~led ring pete yenye vito a ~led watch saa yenye almasi bandia. jeweller n muuza vito. ~ry; ~lery n mapambo ya vito.