jetsam

n shehena n.k. iliyotoswa baharini kupunguza uzito wa jahazi (meli, chombo n.k.); shehena iliyotupwa baharini na kukokotwa pwani. flotsam and ~ n (fig use) watu wasio na mbele wala nyuma, watu wasio na kazi wala makazi.