jet
jet
1 n 1 mchirizi wa ghafla (wa maji, mvuke) kutoka kwenye upenyo. ~ propulsion (engine) n injini ya jeti. ~ (air craft/air liner/fighter) n jeti. the ~ set n matajiri (agh. husafiri sana kwa ndege). 2 upenyo, bomba (la kutokea maji, hewa, n.k.). vt,vi 1 to(k)a kwa nguvu, bubujika, foka (kwa nguvu). 2 (colloq) safirisha kwa jeti.jet
2 n 1 jeti: namna ya jiwe jeusi sana linalotumika kufanya vifungo na mapambo ya mavazi. ~ black adj -eusi tititi.