jesuit

n 1 Mjesuti: mwanachama wa chama kimojawapo cha Kikristo. 2 (derog) mtu mwenye hila/mwerevu sana. Jesuitical adj.