jest

n kichekesho; masihara, mzaha, utani. in ~ kwa mzaha, kimzaha a standing ~ kichekesho. vi ~ (with) toa mzaha; chekesha; fanya masihara, tania it's not a matter of ~ si utani. jesting adj. jestingly adv.jester n mcheshi, damisi.