jersey

n 1 (~ wool) kitambaa cha sufu; fulana nzito, jezi, sweta. 2 ng'ombe wa kisasa (ambaye asili yake ni Jersey).