jazz

n jazi (muziki uliobuniwa na Wamarekani weusi tangu karne ya 20). ~ dancer n mcheza jazi. vt 1 cheza katika mtindo wa jazi. 2 ~ something up (fig,colloq) changamsha. jazzy adj (colloq) -a kijazi; maridadi, -zuri; -enye kelele.