n 1 (lower/upper) ~ taya, utaya. jaw-bonen mfupa wa taya. ~-breakern(colloq) neno gumu kutamka. 2 (pl) kinywa (sing) sehemu ya chini ya uso; taya la chini. 3 mwingilio wa bonde, pango (hasa wa mahali pa hatari) (fig)into/out of the ~s of the death ingia/toka kwenye hatari. 4 (pl) (machine) kibanio. 5 (colloq) kidomo, payo; soga kubwa. 6 (colloq) mahubiri/wasifu/hotuba ndefu na ya kuchosha. ~ (at)(colloq) piga domo; hubiri.